Mwana Wa Akasha Anaswa

Kijana wa marehemu Ibrahim Baktash Akasha aliyekuwa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, amekamatwa na maafisa wa usalama mjini Mombasa, huku polisi wakisema kuwa walanguzi wa dawa za kulevya ndio chanzo kuu cha mashambulizi ya kigaidi Mombasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories