Mwanafunzi akanyagwa na basi la shule

Mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi ya St.Augustine ilioko mjini Mombasa amefariki baada ya kutumbukia kwenye shimo lililokuwa ndani ya basi la shule hiyo.

Tags:

Mombasa St.Augustine

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories