Mwanafunzi Mwenye Miaka 9 Azuiliwa Kwa Utekaji Nyara

Mwanafunzi wa miaka 19 wa mwaka wa kwanza katika  Chuo Cha Egerton anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Moi’s Bridge, baada ya kudaiwa kuhusika katika utekaji nyara wa mtoto wa miaka 9 huko Matunda. Kama anavyotuarifu Mbaruk Mwalimu, Victor Mwania Musango alikamatwa baada ya mwenzake walioshirikiana naye katika utekaji nyara huo kutoroka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories