Mwanahabari wa Citizen TV ashambuliwa na walinzi wa Gavana Lusaka

Mwandishi  wa  Citizen TV katika kaunti ya Bungoma Namisi Cheptai anauguza majeraha  baada ya kushambuliwa  na walinzi wa gavana wa Bungoma Ken Lusaka. Walinzi hao walimvamia Namisi kufuatia taarifa iliyopeperushwa kuhusiana na ghasia zilizozuka katika mji wa Bungoma baina ya wafuasi wa Gavana Lusaka na wale wa wapinzani wake iliyopelekea kupigwa risasi na kuuawa kwa mtu mmoja.

Tags:

bungoma ken lusaka Namisi Cheptai

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories