Mwanamke aliyewauzia watu pombe ya mauti ahukumiwa kifo

Mahakama mmoja aliyewauzia waraibu wa mvinyo wa chang’aa na kupelekea kufariki kwa watu watano amehukumiwa kinyongo na mahakama mmoja ya Nairobi.
Jenifer Wanjiru almaarufu kama mama flora au Mama Mwangi alipatikana na hatia ya kusababisha kufariki kwa festus david nzuki, david karanja Nduati, Samuel Waweru Wanjiku, Julius Kariuki Mwangi na Jane Wambua kamau kwa kuwauzia pombe haramu iliyotiwa sumu katika kijiji cha gitambaya eneo la ruiru kaunti ya Kiambu tarehe 11 mwezi Septemba mwaka 2011

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories