Mwanamke ataka mazishi ya Too yasifanyike

Mwanamke mmoja ameelekea mahakamani kuiomba isimamishe maandalizi na mziko ya aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri Marehemu Mark Too.
Fatuma Ramadhani Hassan amewashitaki wajane Sofi Too na Mary Too kwa niaba ya mwanawe mwenye umri wa miaka kumi na sita kwa madai ya kumtenga na kukosa kumtambua kama mmoja wa wana wa marehemu.

Tags:

mark too Fatuma Ramadhani Hassan

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories