Mwanamme mmoja afariki kwa kukosa matibabu Bungoma

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka sitini amefariki katika kaunti ya Bungoma baada ya kusubiri kwa zaidi ya masaa matatu kupokea huduma katika hospitali hiyo, huku vile vile mwanamume mwengine kutoka kaunti ya Homabay anaomboleza baada ya mkewe na mwanawe mchanga kufariki kwa kile anachodai ni utepetevu wa madakatari. Wengi wakijiuliza ni vipi haya yanatokea huku ufujaji wa fedha unaendelea katika wizara ya afya.

Tags:

bungoma Homa Bay Matibabu Afya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories