Mwanamume awauwa wanawe 2 na mkewe

Hofu na huzuni zimetenada katika kijiji kimoja katika eneo bunge la Murang’a ambapo mtu mmoja ameripotiwa kuua wanawe wawili, mkewe kabla ya kujitia kitanzi. Wanakijiji wamemtaja mtu huyo kuwa mnyamavu ambaye hakuwa na mameno mengine. Haijabainika sbabu ya kufanya hivyo.

Tags:

muranga maragua Punda milia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories