Mwanaume aliyekuwa mikononi mwa polisi hajulikani aliko
Published on: March 04, 2017 08:40 (EAT)
Wingu la simanzi limegubika familia moja katika eneo la Kuria Mashariki, kaunti ya Migori baada ya jamaa wao aliyetiwa mbaroni na
polisi kutoweka asijulikane alipo. Baru Nyamohanga ambaye alitiwa mbaroni pamoja na washukiwa wengine watano alitoweka akiwa mikononi mwa polisi wa kituo cha Kehancha huku polisi wakidai kuwa walimwachilia huru. Kassim Mwalimu adinasi ameandaa taarifa hiyo kutoka migori.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment