Mwanaume amuua mpenziwe na kisha kujiua

Mzozo wa kimapenzi katika kijiji cha Botori viungani mwa mji wa Kisii umesababisha vifo vya wapenzi wawili. Jamaa mmoja aliyeachwa na mkewe akimuandama mke huyo na kumdunga visu kadhaa hadi kufa na kisha kujiua mwenyewe kwa kisu hicho hicho.

Tags:

mapenzi Kisii Botari mpenzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories