Mwenyekiti wa kamati ya Afya ajikuta pabaya

Mwenyekiti wa kamati ya afya inayochunguza kashafa ya shilingi bilioni tano katika wizara ya afya, huenda akangatuliwa kutoka wadhifa huo kwa madai ya kuhujumu uchunguzi wa kamati hiyo.

Wabunge katika kamati hiyo wamedai kuwa mwenyekiti wa kamatihiyo rachel nyamai ametumia mamlaka yake vibaya na kwamba amekuwa akiwatetea waziri wa afya cleopa mailu na katibu wake nicholas muraguri wanapoalikwa na kamati hiyo bungeni.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories