Mwisho Wa Safari

Kulitokea kioja mjini Nyeri wakati mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa tapeli alipofumaniwa na kupewa adhabu mbayo haijawahi kuonekana katika mji huo. Kando na adhabu hiyo  Irungu Maina alipata kichapo cha mbwa kwa kumwibia mwanafunzi mmoja  shilingi elfu 15 alizokuwa amepewa kama karo. Wenyeji wanasema  kitendo hicho ni funzo la maisha kwa Maina na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories