Mzee amzika mkewe kwa siri Murang’a

Mzee mwenye umri wa miaka tisini na mitatu amemzika mkewe akiwa peke yake na kuwaacha wanakijiji vinywa wazi. Kulingana na mzee huyo, Gachuma Gachure alifanya kitendo hiki kwa kuwa familia yake ilikuwa inazozana kuhusu mahali ambapo mke wake angezikwa katika kijiji cha Kamwiyoni kaunti ya Murang’a.

Tags:

muranga Gachuma Gachure Kamwiyoni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories