Mzozo afisi za ODM

Chama cha Odm kimeendelea kukumbwa na matatizo siku mbili baada ya vurugu kubwa kushuhudiwa katika kaunti ya Migori. Na leo,kizaazaa kilizuka katika jumba la orange hapa jijini Nairobi baada ya seneta mteule Elizabeth Ongoro na wafuasi wake kuvamia ofisi za Odm kulalamikia kile wamekitaja kama njama ya kumuondoa kutoka kinyanganyiro cha tiketi ya kuwania kiti cha ubunge katika eneo bunge la Ruaraka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories