Mzozo Wa Ardhi Ngurumani Kuhusu Umiliki Wa Narok

Gavana wa Narok Samuel Ole Tunai amewaagiza mkurugenzi wa Masoroveya kudhibitisha mipaka ya kaunti za Narok na Kajiado kufuatia mzozo wa ardhi kati ya kikundi cha Kamorora, Nguruman na Hermanus. Hii ni baada ya vikundi hivyo vitatu kukodisha shamba hilo kwa zaidi ya muda unaostahili ambao ulikamilika mwaka 2006 .Na kama anvyotupasha mwanahabari wetu Pheona Kengah kumekuwepo na uharibifu wa mali baada ya jamii zinazohusika kuzozana iwapo ardhi hiyo iko kaunti ya Kajiado au Narok.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories