Naibu wa rais azuru Makueni na Kajiado

Naibu Rais William Ruto amemweleza mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Nasa Kalonzo Musyoka kuwa anapoteza wakati wake kwenye upinzani ambapo anafahamu vyema kuwa hana cha kuvuna. Ruto ambaye aliendeleza kampeni za Jubilee katika kaunti za Makueni na Kajiado amewataka wenyeji wa kaunti ya Kajiado kutobahatisha katika kinyang’anyiro cha Agosti . Huku haya yakijiri viongozi wa Nasa wameishtumu serikali kwa kushindwa kuthibiti mfumko wa bei za bidhaa. Kiongozi wa ODM Raila Odinga, akijibizana hadharani na mbunge wa Mumias Magharibi Benjamin Washiali anayepigia debe chama cha Jubilee huko Mumias.

Tags:

JUBILEE Kajiado william ruto Makueni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories