Naomi Karimi aongoza katika mtihani wa KCSE

Mwanafunzi bora katika mtihani wa KCSE mwaka huu Naomi Kawira Kirimi alipokea taarifa hiyo kwa mshtuko kwani kulingana naye alitarajia kufanya vyema lakini hakutarajia kuongoza kitaifa. Familia, marafiki na walimu wake walisherekea matokeo hayo mema huku wanafunzi wengine bora na shule zilizofanya vyema zikiendelea kufurahia matokeo

Tags:

Boy child Naomi Karimi Kawira pangani girls Sing'ore Girls

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories