NASA waelekeza kampeni Lamu na Tana River

Vigogo wa Nasa hii leo waliendeleza kampeni zao katika kaunti za Pwani na kuahidi kuinua uchumi wa eneo hilo. Raila Odinga ambaye aliongoza kampeni hizo Lamu na Tana River ameikosoa serikali kuhusu ukosefu wa usalama Lamu.

Tags:

raila odinga lamu NASA Tana River

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories