NASA wapanga kuwaapisha Raila na Kalonzo, Jan 30
Published on: January 03, 2018 08:05 (EAT)
Huenda kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga na Kalonzo Musyoka wakaapishwa mwishoni mwa mwezi huu. Hii ni baada ya kamati andalizi inayoongozwa Na Daktari David Ndii kuitisha kikao kesho ili kutoa ratiba pamoja na mikakati ya kuapishwa kwa wawili hao.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment