Nasa yajiondoa katika marudio ya uchaguzi Oktoba 26

Mgombea wa urais Raila Odinga na naibu wake Kalonzo Musyoka wamejiondoa kutoka kwa kinyang’anyiro cha urais, katika marudio ya uchaguzi yaliyoratibiwa tarehe 26 mwezi huu. katika taarifa yao kwa vyombo vya habari vinara hao wa muungano wa NASA wanasema uamuzi wao umeafikiwa baada ya tume ya IEBC kukosa kutimiza matakwa yao wakisema juhudi za IEBC zinaashiria kinyang’anyiro kisicho na usawa na haki.

Tags:

IEBC raila odinga kalonzo musyoka NASA Wafula Chebukati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories