NCCK: Chanjo Ya Pepopunda Ifanyiwe Utafiti

Baraza la kitaifa la makanisa nchini NCCK, limeitaka serikali pamoja na kanisa katoliki kufanya utafiti wa kina ili kutatua mzozo uliopo kati ya kanisa hilo na serikali kuhusiana na chanjo ya pepopunda inayo fadhiliwa na serikali.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories