Nicholas Biwott afariki akiwa na miaka 77

Waziri wa zamani Nicholas Kipyator Biwott ameaga dunia. Biwott aliaga dunia alipokuwa akipokea matibabu Nairobi Hospital. Marehemu Biwott pia alikuwa mwanasiasa aliyehudumu katika serikali za Jomo Kenyatta, Moi na Kibaki. Biwott ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 77.

Tags:

Nicholas Biwott

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories