Nkaissery, Omamo wawaonya wapinzani

Waziri wa ulinzi Racheal Omamo na mwenzake wa usalama wa ndani Jospeh Nkaisery wamesisitiza kuwa maafisa wa usalama wataendelea kutekeleza wajibu wao bila ya kuegemea upande wowote wa kisiasa, ama mapendeleo ya aina yoyote.
Wakihudhuria kufuzu kwa maafisa waliopokea mafunzo spesheli ya usalama wa kabla, wakati, na baada ya uchaguzi mkuu ujao, mawaziri hao wamewauliza maafisa wa usalama kupuuzilia mbali vitisho kutoka kwa wanasiasa.

Tags:

KDF Joseph Nkaissery Rachael Omamo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories