Nyayo Za Naisula Lesuda

Akiwa na miaka 30 tu amefanya mengi kuisaidia jamii na hata kutuzwa tuzo la Rais la Order of The Grand Warrior Kwa kuandika taarifa za kueneza na kuhimiza amani kati ya jamii za wafugaji. Ni baadhi ya wanawake waliotambuliwa kwenye orodha ya Forbes sio tu kama mwanasheria au mwanahabari lakini zaidi mwanaharakati. Mwanahabari wetu Pheona Kengah alizuru Kaunti ya Samburu na kutuletea mahojiano kuhusu maisha ya Seneta mteuliwa Naisula Lesuda atakayetupambia makala ya waliojenga habari mwaka huu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories