Odinga ailaumu serikali kwa miradi Garissa

Kinara wa ODM Raila Odinga leo amezuru eneo la Garissa ambapo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha kuwa wapigakura. Odinga ametumia ziara hiyo kuikosoa serikali akidai kuwa imewatenga wakazi wa eneo hilo.

Tags:

raila odinga Aden Duale garissa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories