Odinga alaumu serikali kwa kushindwa kutimiza ahadi

Wabunge wa chama cha ODM wanazidi kumpigia debe kinara wao Raila Odinga aidhinishwe kupeperusha bendera ya muungano wa cord, katika kinyang’anyiro cha ikulu mwaka ujao. Wabunge hao wanasisitiza odinga ndiye mwenye uzoefu na tajriba ya kutosha kumenyana na rais Uhuru Kenyatta, licha ya shinikizo la baadhi ya viongozi wa eneo la magharibi, wanaompigia debe kinara wa Amani Congress Musalia Mudavadi. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories