Odinga ataka wakazi wa Kericho wamuunge mkono

Kinara wa upinzani Raila Odinga hii leo amesema kuwa serikali ya NASA itahakikisha kuwa imepigania nyongeza ya bei ya majani chai ili kukuza uchumi wa mmea huo na wakulima.
Odinga ambaye aliongoza kampeni za NASA katika kaunti ya Kericho aidha amewataka wafuasi wa NASA kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi.

Tags:

raila odinga Isaac Ruto NASA Bomet Kericho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories