Ongoro ahamia ANC
Published on: April 14, 2017 08:33 (EAT)
Seneta maalum Elizabeth Ongoro sasa amekihama chama cha Odm na kujiunga rasmi na amani national congress baada ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu na Odm. Ongoro sasa atawania kiti cha ruaraka ambacho Odm ilikuwa imemnyima na kumwagiza atafute akwenda.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment