Pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh 2 M zanaswa Kwale

Citizen Reporter
By Citizen Reporter March 30, 2017 08:24 (EAT)
Add as a Preferred Source on Google
Vocalize Pre-Player Loader

Audio By Vocalize

Maafisa wa polisi huko Kwale wamenasa kilo 41.9 za pembe ya ndovu zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

OCPD wa Msambweni Josephat Chebusit, amesema kwamba pembe hizo zilipatikana nyumbani  mwa mama mmoja katika  eneo la Msambweni. Aidha imebainika kwamba pembe hizo zilikuwa zimekatwa katwa kwa vipande themanini na nane na kupakiwa kwenye magunia kadhaa. Uchunguzi wa kubaini waendeshaji wa biashara ya aina hiyo tayari umeanzishwa katika eneo hilo.

Join the Discussion

Share your perspective with the Citizen Digital community.

Moderation applies

Sign In to Publish

No comments yet

This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!