Polisi walivunja mkutano wa Gavana Joho

 

Polisi katika kaunti ya kwale hii leo walivunja mkutano wa kisiasa uliokuwa uhutubiwe na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho na mwenzake wa kilifi amason kingi katika mji wa kinango.

Mkutano huo uliokuwa umeandaliwa na mgombea kiti cha ubunge wa Kinango Benjamin Tayai ulitibuliwa na maofisa wa polisi muda mfupi kabla ya joho na kingi kuwasili katika sehemu hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories