Polisi watumia risasi kwenye sokomoko Nyandarua

Mtu mmoja amefariki na mwingine anauguza majeraha hospitalini baada ya vurugu na maandamano ya kupinga hatua ya mahakama kumtangaza Wanjiku Muhia kama aliyeibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha Jubilee katika kaunti ya Nyandarua. Waandamanaji walifunga barabara za kaunti hiyo na kukabiliana na polisi ambapo watu hao wawili walipigwa risasi.

Tags:

JUBILEE NYANDARUA Faith Gitau Wanjiku Muhia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories