Prof Ali A Mazrui Afariki Marekani

Msomi mashuhuri Profesa Ali Mazrui amefariki  katika hospitali moja nchini  marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Profesa mazrui ambaye amewahi hudumu kama chansela wa chuo kikuu cha JKUAT alikuwa akifunza katika chuo kikuu cha Binghamtom nchini marekani.kifo chake kimekuwa pigo kwa wasomi wengi kote ulimwenguni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories