Raila akejeli viwango vya juu vya ufisadi serikalini

Kinara wa upinzani Raila Odinga ametangaza kuwa kuna njama ya kukopa mabilioni ya pesa kutoka benki za kimataifa ili kutumia pesa hizo kulipa madeni humu nchini. Hata hivyo Duale amepuuzilia mbali madai ya Odinga na kutaja kama porojo. Stephen Letoo ameandaa taarifa hiyo pamoja na kampeni za upinzani za kuwataka wakenya wajisajili kuwa wapigakura.

Tags:

raila odinga Eurobond Usajili wa wapigakura ufisadi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories