Raila apongeza kazi ya kamati maalumu

Kinara wa Cord Raila Odinga ameridhika na mapendekezo ya kamati teule ya bunge, kuhusu utaratibu wa kuwateua makamishna wapya wa tume ya uchaguzi nchini-IEBC na mabadiliko katika sheria za uchaguzi, kabla ya kinyang’anyiro cha mwaka ujao. Odinga amesema hata ingawa mrengo wake ulilegeza kamba kuhusu masuala kadhaa, amependekeza rais Uhuru Kenyatta amhusishe katika uteuzi wa makamishna wapya watakaochukua nafasi za ahmed issack hassan na kikosi chake, ambao wamependekezwa kuondoka ofisini kufikia mwisho wa mwezi ujao.

Tags:

raila

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories