Raila asema ni kichekesho kwa rais kulalamikia rushwa

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amemkashifu Rais Uhuru Kenyatta kwa matamshi yake hapo jana kuwa ameshindwa kupambana na ufisadi. Odinga sasa anadai kuwa Rais Uhuru ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake na wa serikali yake katika vita dhidi ya ufisadi, na anavyotuarifu mwanahabari wetu Victor Kenani, Odinga amemuuliza mkaguzi mkuu kutupilia mbali madai kuwa kashfa ya Eurobond imetekelezwa kikamilifu.

Tags:

raila odinga Rais Uhuru Kenyatta ufisadi rushwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories