Raila azuru Samburu

Kinara wa Cord Raila Odinga hii leo amewakashifu Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kwa kuendeleza kampeni za kuwarai wakenya kujisajili na kuwapigia kura huku madaktari na wahadhiri wakiandamana wakitaka nyongeza ya mishahara.

Odinga amewataka wawili hao kusitisha ziara zao katika maeneo tofauti na kupata suluhu mwafaka kutokana na matukio yanayojiri.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories