Raila: Kalonzo yuko ndani NASA na hatohama

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesema kuwa kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka yuko ndani ya NASA na kamwe hana nia ya kuuhama muungano wa NASA. Odinga ambaye alizuru maeneo ya Kisii amesema kuwa muungano wa NASA utaendelea kufanya kazi pamoja.

Tags:

WIPER raila odinga kalonzo musyoka NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories