Raila na Wetang’ula wapiga kambi Bungoma

Viongozi wa upinzani hii leo wameendeleza kampeni za kuwarai wapiga kura wapya wajitokeze kusajiliwa  katika maeneo tofauti humu nchini. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka alizuru kaunti ya Makueni huku kinara wa ODM Raila Odinga akiendeleza kampeni hizo katika kaunti ya Bungoma. 

Tags:

CORD raila odinga odm kalonzo musyoka Moses Wetangula

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories