Raila Odinga ajimwayamwaya Ukambani

kinara was muungano wa NASA Raila Odinga Leo alizuru kaunti za Ukambani kuhubiri ujumbe kuwa hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 26. Raila pamoja na viongozi wengine wa kaunti za Machakos, Makueni na Kitui wamewataka wakazi wa kaunti hizo kususia uchaguzi wa Alhamisi wakiutaja kama kura ya maoni ya Jubilee.

Tags:

raila odinga Ukambani Wavinya Ndeti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories