Raila Odinga aongoza vinara wa NASA kuomba kura Narok
Published on: September 09, 2017 08:32 (EAT)
Audio By Vocalize
Muungano wa Nasa hii leo ulikita mizizi kaunti ya Narok huku Raila akisisitiza kwamba yuko tayari kwa uchaguzi ila ni sharti mabadiliko yafanyike katika tume ya IEBC kulingana na utafiti uliochangia uamuzi wa mahakama kubatilisha kuchaguliwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.


Leave a Comment