Rais aahirisha ziara yake eneo la Magharibi

Rais Uhuru Kenyatta ameahirisha ziara yake ya mkoa wa magharibi siku moja tu baada ya kusitisha mkutano mwengine kaunti ya Meru. Kulingana na Rais Kenyatta, hatua hiyo imesababishwa na maandalizi ya mchujo wa chama cha Jubilee. Rais Kenyatta alitarajiwa kuzuru kaunti zote za mkoa wa magharibi mwishono mwa wiki hii. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories