Rais aamuru maafisa wa IEBC waongezewe ulinzi

Rais Uhuru Kenyatta ametaka wagombea wote wa urais na maafisa wa tume ya uchaguzi kupewa ulinzi wa kutosha ili kusiwe na mushkil unaoweza kusababisha kuhairishwa kwa uchaguzi. Rais kadhalika alisifia maendeleo yaliyofanywa chini ya uongozi wake na kuwataka wananchi kuangalia rekodi hiyo watakapokwenda uchaguzini.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Uasin Gishu eldoret

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories