Rais Apokea Ripoti Ya Jopokazi La Kutathmini Karo

Rais Uhuru Kenyatta amepokea ripoti ya jopo kazi la kutathmini karo ya shule za upili.ripoti hiyo inapendekeza shilingi 39,000 kuwa fedha za juu zaidi ambazo zitalipwa na wanafunzi katika shule za bweni. Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono pendekezo la ripoti hiyo na huenda akaidhinisha kutekelezwa kwake.Kwingineko ni kuwa Dkt. Joseph Kivilu ameidhinishwa kuwa afisa mkuu wa baraza la mitihani nchini, amechukua nafasi ya Paul Wasanga aliyemaliza hatamu yake.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories