Rais azindua bohari la reli ya kisasa Nairobi

Serikali imezindua rasmi huduma ya kupokea, kukagua na kusafirisha mizigo kupitia bohari jipya la reli ya kisasa hapa jijini Nairobi. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kuwa wafanyibiashara watakaotumia kituo hicho watapokea turuhani au diskaunti ya hadi asilimia 50.

Tags:

SGR inland freight station SGR cargo train

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories