Rais Kenyatta akosoa NASA kwenda kortini

Siku ishirini pekee kabla ya uchaguzi mirengo mikuu ya kisiasa ingali ianzozana kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu, Rais Uhuru Kenyatta sasa akiwashtumu wananasa kwa kufika mahakamani wakitaka uchaguzi uahirishwe iwapo IEBC haitakuwa na mpango mbadala wa kielektroniki wa kuandaa uchaguzi huo.
Haya yanajiri huku afisa mkuu wa IEBC Ezra Chiloba akishikilia kuwa tume hiyo imejiandaa vilivyo pamoja na mipango mbadala endapo mfumo wa sasa utafeli.

Tags:

Uhuru kenyatta IEBC JUBILEE NASA Ezra Chiloba Al Ghurair Court of Appeals

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories