Rais Kenyatta aongoza Jubilee Kisii

Waathiriwa elfu saba wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 ambao walifukuzwa kutoka kwao katika kaunti ya Kisii watapata shilingi elfu 43 kila mmoja. Hii ni baada ya rais kenyatta kutoa shilingi milioni 358 kwa waathiriwa hao. Rais Kenyatta ambaye amefanya kampeni za kutaka kuchaguliwa tena katika kaunti hiyo amewataka wenyeji kufanya kampeni na uchaguzi wa amani ili matukio kama hayo yasishuhudiwe tena.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Kisii

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories