Rais Kenyatta aongoza kampeni za Jubilee Kakamega

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamewahimiza wenyeji wa eneo la magharibi kukumbatia siasa za maendeleo na kutema zile za maneno matupu. Viongozi hao wawili walipigia debe azma yao ya kusalia ikulu kwa miaka mitano, huku wakiwataja wapinzani wao kama wasio na dira ya maendeleo. Na kama anavyoruarifu Francis Gachuri, kikapu chao kilisheheni matamu kwa wenyeji wa eneo ambalo limetambulika kama ngome ya muungano wa upinzani-NASA.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE KAKAMEGA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories