Rais Kenyatta asema upinzani unaogopa uchaguzi

Rais Uhuru Kenyatta amemkosoa kiongozi wa Nasa Raila Odinga kwa wafuasi wake kuzua rabsha jijini Nairobi na katika maeneo mengine akisema kuwa serikali itawakabili wote watakaoshiriki fujo. Rais ambaye alikuwa akifanya kampeni zake huko Maai Mahiu amesema kuwa japo uhuru wa kuandamana upo kwenye katiba, hakuna aliye na haki ya kuharibu mali ya watu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories