Rais Kenyatta ataka kuongezwa misaada ya vyakula

Kufuatia baa la njaa lililosababisha watu watatu kufariki na maelfu ya mifugo kuangamia katika kaunti ya marsabit, rais uhuru kenyatta sasa ameagiza chakula cha msaada kuongezwa maradufu ili kuwafikia wenyeji wa kaunti hiyo.

Rais Kenyatta amesema kuwa serikali inachambua upya bajeti ili kuhakikisha kuwa walioathirika wamepata msaada wa chakula la maji ikiwa ni pamoja na kutenga shilingi bilioni moja kwa ujenzi wa bwawa la badasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories