Rais Kenyatta awapa Wamakonde 5000 vitambulisho

Rais uhuru kenyatta ametangaza vita dhidi ya ulanguzi wa mihadarati na kusema kuwa serikali itafanya juu chini kuwanasa walanguzi wakubwa wanaoendesha biashara hiyo pwani na kote nchini.

Katika ziara yake katika kaunti za mombasa na kwale, Rais Kenyatta amesema kuwa serikali haitachelea kukomesha biashara hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories